Monthly Archives: June, 2020

Kumi wauawa katika shambulio la soko la hisa Pakistan

ISLAMABAD,PAKISTAN WATU wasiopungua kumi wakiwemo magaidi wanne wameuawa katika shambulio dhidi ya soko la hisa la Pakistan, lililoko katika...

Mississipi yafuta alama ya kitumwa kwenye bendera yake

WASHINGTON,MAREKANI WABUNGE wa Mississippi nchini Marekani wamepiga kura kuondoa alama ya kibaguzi katika bendera ya jimbo. 

Rais wa Burundi ateua baraza la mawaziri 15

GITEGA,BURUNDI RAIS mpya wa Burundi Evariste Ndayishimiye aliteua baraza jipya lenye jumla ya mawaziri 15, wanaume kumi  na wanawake watano.

Wanyarwanda wakumbuka mauaji ya kimbari kwa Watutsi

KIGALI, RWANDA WANYARWANDA wanaoishi katika Falme za Kiarabu (UAE) wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 26 ya mauaji ya kimbari yaliyotokea...

Wanne kupigwa bei Manchester United

LONDON, England OLE GUNNAR SOLSKJAER imeripotiwa ana mpango wa kuuza baadhi ya wachezaji wa Manchester United, ili kutunisha mfuko  kuweza...

Vigogo England kukutana nusu fainali kombe la FA

LONDON, England TIMU za Manchester United, Chelsea, Arsenal na Manchester City zitakutana kwenye nusu fainali ya kombe la FA.

Timo kuiunga mkono timu yake ya zamai

LONDON, England MCHEZAJI mpya wa Chelsea Timo Werner ameahidi kuiunga mkono Leipzig katika ligi ya mabingwa  na kusema kuwa anaweza...

Chanjo zinavyowakinga watoto na magonjwa hatari

Kundi la watoto ni manusura ya maambukizi ya Corona NA HUSNA MOHAMMED WAKATI wa janga la...

Latest news

Serikali yajipanga kumaliza tatizo la maji

Na Saida Issa,Dodoma SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya...
- Advertisement -

Minister commends introduction of Zanzibar Woman of the Year Award

By Mohamed Hakim THE introduction of the Zanzibar Woman of the Year Award expresses how Non- Governmental Organizations (NGOs) support...

Wazazi wanavyoshiriki kurejesha mtoto darasani

NA ASIA MWALIM LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo...

Must read

Serikali yajipanga kumaliza tatizo la maji

Na Saida Issa,Dodoma SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde...

Minister commends introduction of Zanzibar Woman of the Year Award

By Mohamed Hakim THE introduction of the Zanzibar Woman of...