
MGOMBEA Urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi, (kushoto) akishiriki sala ya Eidel Hajji huko Mahonda Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja.

– RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza jambo na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumaliza sala ya Eidel Hajji, kiwanja cha timu ya Misuka Mahonda Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja

MAKAMO wa Rais Jamuhuri ya Muungano Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika ukumbi wa mitihani wa skuli ya Bubwini Misufini, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja kushiriki Baraza la Eidel Hajji.