Kuelekea CCM kupata Mgombea wa Uraisi wa Zanzibar hapa Mjini Dodoma Harakati mbali mbali zimekuwa zikiendelea ikiwepo wagombea na waliotia nia na wajumbe kuzunguka huku na kule hapa makao makuu ya CCM Mjini Dodoma na ofisi ya white house