NYOTA wa PSG, Neymar akiwa mwenye furaha baada ya kuisadia PSG kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ikiilaza Leipzig 3-0 jijini Lisbon, Ureno. (DAILY MAIL).

WINGA wa PSG. Angel Di Maria (11), akifunga goli dhidi ya Leipzig
KIUNGO wa PSG, Neymar (kati kati), akijaribu kuwatoka walinzi wa RB Leipzig.
KIUNGO wa PSG, Marquinhos akijaribu kufunga dhidi ya RB Leipzig.
Angel Di Maria na Neymar wakifurahi baada ya ushindi dhidi ya RB Leipzig.