MGOMBEA Uraisi wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, akiwasalimia watu wenye ulemavu, walioshiriki katika shamrashamra za uchukuaji wa fomu za kuwania Uraisi wa Zanzibar.
MGOMBEA Uraisi wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, akiwasalimia watu wenye ulemavu, walioshiriki katika shamrashamra za uchukuaji wa fomu za kuwania Uraisi wa Zanzibar.
VIJANA wa Chama cha Mapinduzi CCM, wakifurahiya wakati DK. Hussein Mwinyi, akizungumza na wanachama wa Chama hicho hapo kisiwandui baada ya kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar.
MGOMBEA Uraisi wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, akiwahutubia wananchi waliohudhuria katika shamrashamra za kuchukua fomu za kuwania Uraisi wa Zanzibar.
MGOMBEA Uraisi wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, akiwaonesha wanachama wa Chama hicho, mkoba wenye fomu za kuwania Urais wa Zanzibar, baada ya kuzichukua fomu hizo hapo jana katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar ZEC. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).