GIANLUIGI DONNARUMMA
CHELSEA inataka saini ya kipa wa Itali Gianluigi Donnarumma, 21, ambaye anathami ya karibu euro milioni 50, lakini bado yupo katika mwaka wa mwisho wa mkataba wake AC Milan.(Football Insider)
LIONEL MESSI
BABA wa Lionel Messi ameimbia Paris St-Germain kwamba mshambuliaji huyo wa Barcelona na Argentina , 33, anataka kujiunga na Manchester City. (L’Equipe, in French)
JOSEP MARIA
RAIS wa Barcelona Josep Maria Bartomeu amekataa kukutana na Messi kujadili kuondoka kwake na anashikilia kifungu cha cha pauni 624m. (El Periodico, in Spanish)
GEORGINIO WIJNALDUM
KIUNGO wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 29, anatakiwa na Barcelona. (Goal)
MATT DOHERTY
BEKI wa kulia wa Jamhuri ya Ireland Matt Doherty, 28, alitarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya Tottenham jana Jumamosi baada ya kukubaliana malipo ya euro milioni 12 na Wolves. (Football London)
SADIO MANE
MSHAMBULIAJI wa Senegal Sadio Mane, 28, amekuwa na mpango wa Liverpool na kujiunga na kocha wa zamani Southampton Ronald Koeman Barcelona. (Mundo Deportivo, in Spanish)
ROBIN KOCH
BEKI wa Freiburg na Ujerumani Robin Koch, 22, amekuwa na makubaliano maalum na Leeds United. (Football Insider)
MARC JURADO
MANCHESTER UNITED wanakaribia kumaliza mikataba ya vijana wa Hispania Marc Jurado, 16, na Alvaro Fernandez, 17, ambaye angejiunga na wachezaji wa timu ya vijana na Real Madrid mtawaliwa. (Sky Sports)