Dean Henderson
KLABU ya Sheffield United inafikiria kutoa ofa ya mkopo kwa mlinda mlango wa Manchester United, Dean Henderson (23), licha ya kukubaliana kwa kitita cha fedha cha uhamisho na Bournemouth kwa ajili ya Aaron Ramsdale (22). (ESPN)