Monthly Archives: September, 2020

Tunaipongeza serikali kuwatunza, kuwathamini na kuwaenzi wazee

“WAZEE ni hazina” Msemo huu ni maarufu kwa kuwa una maana kuwa kila jambo unalofanya ni lazima kumshirikisha mzee ili kupata Baraka zake.

China yaadhimisha miaka 71 tangu kuasisiwa

Maendeleo iliyofikia faida kwa ulimwengu Zanzibar mnufaika, rafiki mkubwa wa China NA XIE XIAOWU

Mosimane aachana na Mamelodi

JOHANNESBURG, Afrika Kusini KOCHA, Pitso ‘Jingles’ Mosimane amejiuzulu kuwanoa mabingwa wa Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns 'Masandawana', kwa mujibu wa vyanzo vya...

Dortmund yamfurahisha Reus

DORTMUND, Ujerumani NAHODHA wa Borussia Dortmund, Marco Reus, amefurahia mpango wa klabu hiyo wa kuendelea kufanya kazi na kiungo kutoka England, Jadon...

ManCity yamnasa Dias

LONDON, England MANCHESTER City wamemsaini mlinzi wa umri wa miaka 23, Ruben Dias kutoka Benfica kwa mkataba wa miaka sita wa pauni...

Wanyama aota kuipeleka harambee Qatar.

NAIROBI, KenyaBAADA ya kuiongoza Kenya kushiriki fainali za Kombe la Afrika (AFCON) nchini Misri kwa mara ya kwanza tangu 2004, nahodha Victor...

Barkley atimkia aston villa

LONDON, England KLABU ya Aston Villa imemsajili kiungo wa England, Ross Barkley kutoka Chelsea kwa mkopo wa msimu mzima. Barkley ambaye ana...

Wanawake waombwa kukipigia kura CCM

NA JAMILA ABDALLA, MAELEZO AKINAMAMA   kisiwani Pemba wametakiwa kukiunga mkono Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kiweze kuendelea kuleta maendeleo.

Latest news

Mjumbe mpya wa Marekani nchini Uganda aapishwa

KAMPALA,UGANDA BALOZI  wa Marekani anayekwenda nchini Uganda Natalie Brown, ameapishwa na hivi karibuni atawasili Kampala...
- Advertisement -

Rais wa Kenya asisitiza kuwepo makubaliano ya katiba kukuza maelewano

NAIROBI,KENYA RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ameliongoza taifa katika maadhimisho ya siku ya Mashujaa kwa kutoa...

Walimu wanahitaji mafunzo kabla ya kufungua tena skuli

KIGALI,RWANDA SERIKALI  imehimizwa kuandaa programu mpya ya mafunzo kwa walimu wa skuli za umma wakati zinajiandaa...

Must read