RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua rasmi mradi wa nyumba za Mbweni, zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), hafla iliofanyika katika viwanja vya nyumba hizo Mbweni.
NYUMBA za Mbweni zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein.
KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Khamis Mussa Omar, akitoa maelezo ya kitaalamu kuhusiana na ujenzi wa nyumba za Mbweni, zilizojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF.
WANANCHI mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguaji wa nyumba za Mbweni (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).