NA MARYAM SALUM
KESI ya kubaka kwa kikundi inayowakabili washitakiwa Mkubwa Abdalla Mjaka na Azizi Idrisa Abdalla, imeanzakusikilizwa mashahidi katika mahakama ya mkoa Chake Chake.
Mwendesha mashitaka kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka, Mohamed Ali Juma, alidai shauri hilo lipo kwa ajili ya kusikilizwa na kwa upande wao wako tayari