RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa hutuba wakati wa kilele cha Tamasha la Elimu Bila Malipo leo katika viwanja vya Mao Zedong.(PICHA ZOTE NA AMEIR KHALID)

WANAFUNZI kutoka skuli mbali mbali wakiwa katika kilele cha sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo jana viwanja vya Mao Zedong.
WANAFUNZI kutoka skuli mbali mbali wakipita mbele ya viongozi kwa maandamano, wakati wa sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo jana viwanja vya Mao Zedong.
VIJANA wa Skauti wakitoa heshima ya utii kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,wakati wa kilele cha Tamasha la Elimu Bila Malipo jana viwanja vya Mao Zedong.
WAKURUNGEZI kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwafuatilia sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo jana viwanja vya Mao Zedong.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Riziki Pembe Juma akitoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, kuhutubia wananchi wakati wa kilele cha sherehe za Tamasha la Elimu Bila Malipo viwanja vya Mao Zedong.