zanzibarleo.co.tz

Monthly Archives: October, 2020

Al-Shabab kundi la kigaidi linalowalazimisha wananchi kulipa ushuru

WAKITUMIA vitisho na vurugu, kundi la wanamgambo wa Kiislamu lenye ngome yake katika nchi ya Somalia iliyopo pembe ya Afrika, Al-Shabab limeripotiwa  kukusanya mapato...

Anza kumjengea mwanao tabia ya kujitegemea

TUNAPATA wasiwasi mkubwa juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu kwamba watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani?...

Baada ya anguko kubwa la Vyama vya Upinzani uchagzui mkuu ni wakati wao wa kujitathmini

NA MWANTANGA AME TANZANIA imemaliza zoezi lake la kupiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wataoiongoza nchi kwa miaka mitano ijayo.

Vipi utaepuka kitambi?

LEO tutajadili mbinu muhimu zitakazokupa mafanikio makubwa katika kupambana kuondoa kitambi. KITAMBI husababishwa na mafuta ya ziada yanayojikusanya katika sehemu...

Klabu zianze maandalizi msimu mpya ligi iwe ya ushindani

MSIMU wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2020/2021 unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya kukamilika zoezi la usajili linaloendelea visiwani hapa.Tayari klabu kadhaa...

Yajue makampuni yanayovuna fedha nyingi kwa utalii

NA MWANDISHI WETU BIASHARA ya utalii ni moja kati ya biashara zinazokuwa kwa kasi ulimwenguni ambapo katika mwaka 2018 pekee, jumla...

Wanaopinga kura ya awali wafuate sheria

TUCHUKUE fursa hii kwa dhati kabisa kuwapongeza sana wananchi wa Zanzibar, kwa kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kitaifa la upigaji kura katika uchaguzi mkuu...

Latest news

Kodi mpya ya majengo haitazihusu nyumba zachini

MASHEHA wa Mkoa wa Mjini Magharibi, wameelezwa kuwa na wajibu wa kuwasimamia wamiliki wa majengo katika shehia zao kuhakikisha...
- Advertisement -

Dk. Mwinyi awasili Arusha kuanza ziara ya kikazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka jana Zanzibar kuelekea mkoani Arusha...

Japani, Saudi Arabia kutuliza hali ya Gaza

TOKYO, Japani WAZIRI Mkuu wa Japani, Kishida Fumio na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, wamekubaliana kufanya...

Must read

Kodi mpya ya majengo haitazihusu nyumba zachini

MASHEHA wa Mkoa wa Mjini Magharibi, wameelezwa kuwa na...

Dk. Mwinyi awasili Arusha kuanza ziara ya kikazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,...