MWANANCHIakipiga kura maalumu, kituo cha skuli ya maandalizi Miembeni.
ASKARI wa Chuo cha Mafunzo akipiga kura maalumu, kituo cha skuli ya maandalizi Miembeni. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).
BAADHI ya wananchi wakiangalia majina yao ya kupiga kura, kituo cha skuli ya Muembe Shauri kuelekea uchaguzi wa oktoba 28 -2020.