RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Watumishi wa Serikali, wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika viwanja vya Ikulu jana baada ya kumaliza utumishi wake wa miaka 10 wa kuwa Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto) akipokea zawadi ya ufunguo wa Boti, kutoka kwa Waziri wa Kilimo, Maliasili Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri, wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika viwanja vya Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, (kushoto) akipokea zawadi, kutoka kwa Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Dk. Sira Ubwa Mamboya, wakati wa hafla ya kumuaga iliofanyika viwanja vya Ikulu.