RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, wa tatu (kushoto) akishirikiana na viongozi mbalimbali wa Serikali, akikata utepekwaajili ya kulifungua rasmi jengo la (SHOPING MALL) liliopo
MKURUGENZI Muendeshaji MFuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Sabra Issa Machano, akimpatia maelezo, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, wakiti akityembelea maeneo mbalimbali ya jengo la Shoping Mall.
– RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, wa kwanza (kulia) Mwenyekiti Bodi ya Wadhamin ZSSF, Dk. Suleiman Rashid Mohamed, wa pili (kulia) Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wa pili (kushoto) na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dk. Hussein Mwinyi, wakifurahiya utenzi uliokua ukisomwa wakati wa hafla ya ufunguaji wa jengo la Shoping Mall hapo jana.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wakati wa hafla ya ufunguaji wa jengo la Shoping Mall hapo jana.
WAFANYAKAZI wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa ufunguaji rasmi wa jengo la Shoping Mall liliopo maeneo ya Michezani Mjini Unguja. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR).