Monthly Archives: November, 2020

Spika awataka wawakilishi kuzingatia maslahi ya wananchi

NA LAILA KEIS SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid, amewataka Wajumbe wa baraza hilo kuyatendea haki maslahi ya wananchi...

Mshitakiwa dawa za kulevya apingwa kupatiwa dhamana

NA MARYAM HASSAN GRAMU 2.2436 zimempeleka rumande mshitakiwa Suleiman Mgeni Ahmada (32) mkaazi wa Paje wilaya ya Kusini Unguja, kwa muda...

UN ina matumaini msaada wa kiutu utafika Tigray

 ADDIS ABABA,ETHIOPIA MKUU Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi, UNHCR, Filippo Grandi amesema ana matumaini kwamba viongozi...

PP adai hana nia kuendelea na kesi ya ubakaji

NA MARYAM HASSAN WAKILI wa serikali kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Issa Salmin, ameiambia mahakama kuwa, ofisi yake haina...

Masharti ya dhamana yamnusuru kwenda rumande

NA MARYAM HASSAN JUMA Ali Haji (20) mkaazi wa Chwaka wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja, amenusurika kwenda rumande...

Gebremichael mbabe anayeongoza vita dhidi ya serikali ya Ethiopia

PAMOJA na waziri mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed kutoa muda kuwataka wapiganaji wa kutoka jimbo la Tigray kujisalimisha kama suluhu pekee ya kumaliza vita...

Tuongeze kasi mapambano dhidi ya udhalilishaji

KILA ifikapo Novemba  25 dunia iliingia kwenye maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na udhalilishaji wa kijinsia. Siku 16 za kupinga...

Japani,China zarejesha safari za kibishara

BEIJING,CHINA JAPANI na China zinarejesha safari za kibiashara kati ya nchi hizo, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kupunguza vizuizi vya...

Latest news

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...
- Advertisement -

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

ELIMU INAHITAJIKA MAPAMBANO AJIRA ZA WATOTO

WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa...

Must read

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji...