Rais wa Tanzania Mhe: Jonh Pombe Magufuli amteua tena Mbunge wa Ruwangwa Kassim Majaliwa Majaaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano 2020-2025