Mkurugenzi mtendaji wa ZSSF Sabra Issa Machano na mwanasheria wa ZSSF, kamati ya uendeshaji mradi wa ZUSP wa wizara ya fedha kwa pamoja wamesimamishwa kazi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ili kupisha uchunguzi dhidi yao.

Rais Mwinyi pia ameagiza afisa wa TRA aliyetoa kichwa cha Scania kimagumashi Bwana Karama Awadh Karama kusimamamishwa kazi kamishna Mkuu wa TRA anatazamiwa kutekeleza agizo hilo mara moja