WACHEZAJI wa Manchester City wakisherehekea ushindi dhidi ya Manchester City kwenye mechi ya Kombe la Carabao, iliyochezwa uwanja wa Old Trafford. ManCity ilishinda 2-0.(DAILY MAIL).
BEKI wa United, Luke Shaw (chini), akimchezea faulo winga wa ManCity, Raheem Sterling.
BEKI wa kati wa ManCity, John Stones, akijaribu kufunga dhidi ya United.
ACHEZAJI wa Juventus wakishangiria ushindi dhidi ya AC Milan katika mechi ya Ligi Kuu ya Italia iliyochezwa uwanja wa San Siro. Juve ilishinda 3-1.