Timu ya Yanga Africans imeibuka mshindi wa Mapinduzi Cup 2021 baada ya kushinda timu ya Simba kwa mabao 4-3