Na Saida Issa,Dodoma
SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya tatizo la maji katika mikoa...
By Mohamed Hakim
THE introduction of the Zanzibar Woman of the Year Award expresses how Non- Governmental Organizations (NGOs) support the government’s agenda of women...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano
KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja na inatukataza tusifarikiane, kama ilivyoeleza, "Na kwa yakini huu umma wenu ni umma mmoja na...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
DUBAI, UAE
DANUBE Hospitality, the one-stop, end-to-end solution provider for hospitality businesses for the Middle East is paving the way towards sustainability with its multi...
NA ASIA MWALIM
KWA miaka ya hivi karibuni kesi za ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto zimeongezeka ikilinganishwa na kipindi kilichopita.
Matukio ya...
NAIROBI, KENYA
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewafukuza kazi wakurugenzi wote wa bodi ya wakala wa usambazaji wa dawa nchini humo.
Hatua hii imekuja baada ya...
NAIROBI, KENYA
DAKTARI maarufu nchini Kenya ambaye alikuwa mwanaharakati anayepinga chanjo ya virusi vya corona amefariki dunia kutokana na ugonjwa huo.
Dk. Stephen Karanja mara...
NA KHAMISUU ABDALLAH
BAADA ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha kosa dhidi ya mfanyakazi wa hoteli ya Protea hatimae Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe imeifuta kesi...
NA LAYLAT KHALFAN
KIKOSI cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar (KZU), kimefanikiwa kuokoa mwili wa marehemu aliyetambulikana kwa jina la Nongano Tukung’ona Nongano baada ya kuzama...
Bukayo Saka
KIUNGO wa Arsenal, Bukayo Saka (19), amesema hakusita kutia saini makubaliano mapya na washika bunduki, licha ya Borussia Dortmund na Liverpool kuonesha kuwa...
NA MADINA ISSA
WAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui, amewataka wazazi wa kiume kuona umuhimu wa kushirikiana na...
NA JUMA SHAALI, JKU
MKUU mpya wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), Kanali Makame Abdalla Daima amewataka maofisa na wapiganaji wa jeshi hilo kuongeza mashirikiano...
Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano
KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja na inatukataza tusifarikiane, kama ilivyoeleza, "Na kwa yakini huu umma...