Monthly Archives: May, 2021

Hakimu ataka mashahidi kesi wizi vitu vya dhahabu

NA KHAMISUU ABDALLAH UPANDE wa mashitaka, uliokuwa ukiongozwa na Wakili wa serikali kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Mohammed Haji Kombo, umetakiwa kuwasilisha mashahidi...

WEMA kuwalipa Polisi waliosimamia mitihani

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amani, imekiri kutowalipa Askari Polisi stahiki zao ambao walishiriki katika mitihani ya kitaifa ya mwaka 2020, na kuahidi...

SMZ yarejesha tani 839.4 za bidhaa mbovu

NA KHAIRAT SULEIMAN, MADINA ISSA SERIKALI ya Zanzibar, imesema kupitia Wakala wa Chakula, Dawa na Vipodozi (ZFDA), itahakikisha bidhaa zote zinazoingia nchini zenye viwango vinavyokubalika...

ZASWA FC yaonja ushindi

NA MWAJUMA JUMA TIMU ya soka ya Waandishi wa Habari za Michezo ZASWA FC kwa mara ya kwanza imempa faraja kocha wao Abubakar Khatib Kisandu...

SMZ yakuza huduma za wenye ulemavu

NA ABOUD MAHMOUD IDARA ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar, imefanikiwa kubadili maisha ya kundi hilo baada ya kuanzisha mfuko maalum kwa ajili yao pamoja, na...

CCM yawashukia wapanga safu uchaguzi 2022

NA MARYAM HASSAN JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar imesema haitawavumilia baadhi ya watu wanaopanga safu ya uongozi katika uchaguzi wa chama...

‘Asasi toeni elimu ya uhifadhi mazingira’   

NA LULU MUSSA, DODOMA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amezitaka Asasi zisizo za Kiserikali/Asasi za Kiraia (NGOs,...

Tanzania, Kenya yakubaliano mambo manne yakibishara

NA JOSEPH NGILISHO, ARUSHA TANZANIA na Kenya zimesaini makubaliano manne kati ya 64 ya kiuchumi katika nyanja za kibiashara ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa...

Latest news

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiwezesha bodi ya nafaka na mazao...
- Advertisement -

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na...

Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada rais Xi Jinping ya kuchaguliwa

CHINA na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti...

Must read

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa...

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake...