zanzibarleo.co.tz

Monthly Archives: June, 2021

Upo umuhimu kuitanua miundombinu ya barabara zetu

HAKUNA anayebisha kwamba vyombo vya usafiri yakiwemo magari ni sehemu ya maendeleo katika nchi yoyote ile. Bila shaka usafiri wa gari kwa nchi ni muhimu...

Jacob Zuma: Kutoka ikulu kuishia jela

HATIMAYE rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amehukumiwa kifungo cha miezi 15 jela, hatua hiyo inafuatia kupuuza amri ya mahakama ya kumtaka...

Tukabiliane na wimbi la tatu la corona

TUNAPASWA kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa salama dhidi ya janga la maradhi ya corona ambalo kwa sasa linaendelea kuwa tishio kubwa katika nchi...

Wanaotumia dawa za kulevya waongezeka duniani

RIPOTI mpya iliyotolewa na ofisi ya Umoja wa Mataifa inayohusika na dawa na uhalifu UNODC, imeeleza kwamba idadi ya watu wanaotumia mihadarati duniani inaongezeka...

Vitendo vya udhalilishaji,ukatili wa kijinsia Zanzibar

Wengi walalamikia vyombo vya sheria NA HUSNA MOHAMMED LICHA ya Zanzibar kuwa na sheria ya Ushahidi Namba. 9 ya mwaka 2016 ambayo imenyima dhamana kwa kesi za udhalilishaji...

Kila mmoja ashiriki mapambano vita dawa za kulevya

    ULIMWENGU unaadhimisha siku ya mapambano dhidi ya matumizi ya dawa kulevya, ambapo kwa Zanzibar kama zilivyo nchi nyengine masikini, matumizi ya uraibu huo umesababisha...

Siku 100 za Samia

  Mabodi: Rais Samia ni chuma cha pua, aliyejipambanua kuwahudumia Watanzania ndani ya siku 100 za uongozi wake. Ameweka kando ukanda, udini, ukabila, ujimbo na kuwaunganisha...

KILA LA KHERI UCHAGUZI MKUU ZFF

ZASPOTI UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Soka cha Zanzibar (ZFF), unatarajiwa kufanyika kesho ambapo kutakuwa na wagombea watano wanaowania nafasi hiyo kwa ajili ya mustakabali...

Latest news

Kodi mpya ya majengo haitazihusu nyumba zachini

MASHEHA wa Mkoa wa Mjini Magharibi, wameelezwa kuwa na wajibu wa kuwasimamia wamiliki wa majengo katika shehia zao kuhakikisha...
- Advertisement -

Dk. Mwinyi awasili Arusha kuanza ziara ya kikazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka jana Zanzibar kuelekea mkoani Arusha...

Japani, Saudi Arabia kutuliza hali ya Gaza

TOKYO, Japani WAZIRI Mkuu wa Japani, Kishida Fumio na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, wamekubaliana kufanya...

Must read

Kodi mpya ya majengo haitazihusu nyumba zachini

MASHEHA wa Mkoa wa Mjini Magharibi, wameelezwa kuwa na...

Dk. Mwinyi awasili Arusha kuanza ziara ya kikazi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,...