CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo 2025 iwe imetekelezwa kwa vitendo...
HOSPITALI Kuu ya Mnazimmoja imenunua vitanda maalum 50 kwa ajili ya wagonjwa wanaokatika mifupa kutokana na ajali vyenye thamani ya shilingi milioni 160.
Akizungumza na...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
MAENDELEO ya teknolojia katika mawasiliano yamefikia hatua kubwa na yamekuwa na faida sana, ambapo kuna tofauti kubwa miaka 30 iliyopita na hali ilivyo katika...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
‘’KIPINDI cha mvua wanafunzi hulazimika niwafungie wasije madrasani mpaka zitakapo malizika,’’ hayo ni maneno ya Sada Khamis Hamad mwenye ulemavu wa viungo ambae ni...
MELFU ya watu wamelazimika kuikimbia moto katika nchi mbali mbali ikiwemo Ufaransa,Ureno, na Uhispania pia hali hiyo imeibuka katika eneo la Alaska, kaskazini mwa...
PAMOJA na jitihada kubwa zinzochukuliwa na serikali na wadau katika kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji na ukatili wa watoto, bado wapo watu katika jamii...
WATOTO kuanzia umri wa miaka minane na kuendelea tayari wamekutana na maswali ya mtoto anafikaje tumboni mwa mama? Mama anapataje ujauzito? Maisha ya mtoto...
PORT-AU-PRINCE, HAITI
POLISI nchini Haiti imetangaza kuwa, jaji wa zamani wa Mahakama Kuu ya nchi hiyo alihusika katika mauaji ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo,...
LUANDA. ANGOLA
ISABEL dos Santos, binti wa rais wa zamani wa Angola na mwanamke tajiri zaidi wa Afrika, ametakiwa kurudi Angola ili kuzirejesha zake katika...
TRIPOL, LIBYA
WAFANYAKAZI wa kujitolea kutoka shirika binafsi la Sea-Watch wamewaokoa wahamiaji takribani 100 kutoka hatari baharini kupitia operesheni mbili za uokozi.
Usiku wa Alhamis, mabaharia...
WASHINGTON, MAREKANI
KITUO cha kuzuwia na kudhibiti magonjwa nchini Marekani, CDC, kimesema kirusi kipya cha Corona aina ya Delta kinaweza kuambukiza kama vile ugonjwa wa...
Kichocheo cha uchumi, fursa za ajira
Ataka zitunzwe ili zidumu muda mrefu
MWANAJUMA ABDI, DAR ES SALAAM
TANZANIA imeendelea kuandika historia nyengine ya usafiri wa anga kwa...
KAMA ulikuwa hujui basi tambua kuwa kutumia simu ya mkononi au kompyuta siku nzima kunaweza kuathiri mawazo ya binadamu.
Hiivi karibuni watafiti kutoka nchini Urusi,...