Monthly Archives: August, 2021

Aina mpya ya corona C.1.2 yagunduliwa Afrika Kusini

BLOEMFONTEIN, AFRIKA KUSINI WANASAYANSI nchini Afrika Kusini wanafuatilia aina mpya ya kirusi cha corona ambacho polepole kinazidi kusambaa katika miezi ya hivi karibuni. Aina hiyo, inayojulikana...

Rwanda kukuza utafiti wa matibabu,vumbuzi

KIGALI, RWANDA Kituo cha Biomedical Rwanda (RBC) kimezindua jukwaa jipya ambalo linalenga kukuza na kuongeza sayansi ya matibabu na uvumbuzi nchini. Jukwaa hilo linalenga kushughulikia mapungufu...

Rwanda kukuza utafiti wa matibabu,vumbuzi

KIGALI, RWANDA Kituo cha Biomedical Rwanda (RBC) kimezindua jukwaa jipya ambalo linalenga kukuza na kuongeza sayansi ya matibabu na uvumbuzi nchini. Jukwaa hilo linalenga kushughulikia mapungufu...

Kenya yakusanya pesa kwa ajili ya uhifadhi wa tembo

NAIROBI, KENYA WAZIRI wa utalii na wanyamapori wa Kenya Najib Balala amesema Kenya ina mpango wa kukusanya dola za kimarekani laki 9.1 kwa ajili ya...

DRC yaanza mitihani ya taifa baada ya kuakhirishwa kwa miezi miwili

KINSHASA, DRC MITIHANI ya Taifa ya Sekondari huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inaendelea hivi sasa baada ya kuakhirishwa kwa muda wa miezi mwili...

Wanawake wakumbushwa  kuzitumia huduma za maktaba

NA SALMINI SEGUMBA, (TUDARCo) OFISA Uhusiano Bodi ya huduma ya Maktaba Zanzibar, Adila Khamis Aboud, ameitaka jamii kujiunga na uanachama wa maktaba hasa wanawake, kwani...

udaku katika soka

KYLIAN MBAPPE REAL MADRID imejiondoa katika mazungumzo ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, kutoka Paris St-Germain kwasababu klabu haziwezi kukubali ada.(RMC Sport -...

Elimu zaidi inahitaji matumizi ya barakoa baada ya matumizi

KINGA ni bora kuliko tiba. Hii ni kauli mbiu ya muda mrefu inayotumika kusisitiza umuhimu wa kuzuia madhara makubwa mapema katika nyanja mbali mbali...

Latest news

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...
- Advertisement -

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

ELIMU INAHITAJIKA MAPAMBANO AJIRA ZA WATOTO

WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa...

Must read

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji...