Waziri wa zamani wa fedha na mipango nchini Tanzania, Mhe. Basil Pesambili Mramba (81) amefariki dunia leo Agosti 17, katika Hospitali ya Regency, jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
 Bwana ametowa ,Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe