Monthly Archives: September, 2021

Udaku katika soka

Youssef En-Nesyri ARSENAL itamtoa mshambuliaji wa Ufaransa, Alexandre Lacazette (30), kwa Sevilla kama sehemu ya makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Morocco mwenye umri wa miaka...

Mkurugenzi awakumbusha vijana kufanya vyema masomoni

NA ASIA MWALIM TAASISI mbali mbali zilizopo nchini zimetakiwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuhakikisha wanakuza kiwango cha ufaulu wa wanafunzi hapa...

Diwani achagia kukuza elimu Dimani

NA MWAJUMA JUMA DIWANI wa Wadi ya Dimani, Khamis Omar Khamis, amesema mazingira bora ya upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi yatawawezesha kufanya vizuri na kufaulu...

DC ataka wakalimali wapewe nafasi sekta ya utalii

NA TATU MAKAME MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘B’, Hamid Seif Said, ameitaka jamii kushirikiana na watu wenye ulemavu katika shughuli mbali mbali ili kuweka...

SMZ kuyangalia maslahi ya wafanyakazi

NA LAYLAT KHALFAN KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar, Khadija Khamis Rajab, amesema serikali ina azma ya kuchukua hatua za kutetea...

Japani yapanga kufanya majaribio ya kupunguza masharti

TOKYO, JAPANI NHK imebaini kuwa serikali ya Japani inapanga kufanya majaribio wakati ikielekea kuregeza masharti ya kukabiliana na virusi vya korona. Kuregezwa kwa masharti hayo kutahusisha...

UN:Urusi yakwamisha mchakato wa vikwazo Afrika

MOSCOW,URUSI UMOJA wa Mataifa umesema Urusi inakwamisha mchakato wa kuliteua jopo la wataalamu huru lenye jukumu la kufuatilia utekelezwaji wa vikwazo katika nchi nne za...

Mahakama ya juu Ulaya yafuta mikataba na Morocco

RABAT, MOROCCO MAHAKAMA ya juu ya Umoja wa Ulaya imeifuta mikataba miwili ya biashara na Morocco, ambayo ilikuwa inairuhusu nchi hiyo kufanya biashara zake kutoka...

Latest news

Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano

Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja na inatukataza tusifarikiane, kama ilivyoeleza, "Na kwa yakini huu umma...
- Advertisement -

Serikali yajipanga kumaliza tatizo la maji

Na Saida Issa,Dodoma SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya...

Minister commends introduction of Zanzibar Woman of the Year Award

By Mohamed Hakim THE introduction of the Zanzibar Woman of the Year Award expresses how Non- Governmental Organizations (NGOs) support...

Must read

Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano

Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja...

Serikali yajipanga kumaliza tatizo la maji

Na Saida Issa,Dodoma SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde...