SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Ali Maulid, akisalimiana na Balozi wa kutangaza utalii ambae pia ni mshabiki wa timu ya Taifa Stars, Nicholas Reynolds (Bongo Zozo) alipofika Baraza la Wawakilishi Chukwani, kufuatia mualiko wa Mwakilishi wa Jimbo la Ziwani, Suleiman Makame Ali.(PICHA NA MASSOUD ALI BLW)