RAHEEM STERLING

WINGA wa England Raheem Sterling, mwenye umri wa miaka 26, bado anakabiliwa na sintofahamu kuhusu siku zake zijazo katika Manchester City licha na meneja wa klabu hiyo Pep Guardiola. (Daily Telegraph – subscription required)

DUSAN VLAHOVIC,

MSHAMBULIAJI wa Fiorentina na Serbia Dusan Vlahovic, mwenye umri wa miaka 21, ana ndoto za kuhamia katika Manchester City. Klabu hiyo ilihusishwa na uhamisho wa mchezaji huyo katika kipindi cha msimu uliopita (Gazzetta dello Sport – in Italian)

THIERRY HENRY

THIERRY Henry amemkosoa mpango wa meneja wa zamani wa Arsenal Arsene kwa ajili ya kombe la dunia kila baada ya miaka miwili ambao aliutaja kuwa “unachosha akili”. (Sun)

JADON SANCH

MENEJA wa Manchester Ole Gunnar Solskjaer amemwambia winga wa England mwenye umri wa miaka 21 Jadon Sanch kuwa mkweli, wakati akisubiri bao lake la kwanza katika klabu hiyo. (Mirror)

TIMO WERNER

MSHAMBULIAJI wa Chelsea na Ujerumani Timo Werner, mwenye umri wa miaka 25, anakabiliana nakupambania hali yake ya baadaye katika klabu hiyo baada ya kuhangaika kuimarika katika klabu hiyo tangu kuwasili kwa Romelu Lukaku. (London Evening Standard)

PAU TORRES

MANCHESTER CITY wanaangalia kuwezekano wa kufanya dau na mlinzi wa Villarreal na Uhispania Pau Torres, mwenye umri wa miaka 24. (Marca – in Spanish)

TANGUY NDOMBELE, 24

JOSE MOURINHO anapanga mpango wa kushitukiza wa kukutana tena na shambuliaji wa Tottenham Mfaransa Tanguy Ndombele, 24, katika Roma. (Calciomercarto via Express)

SEAN LONGSTAFF

HUENDA Everton wakamnunua kiungi wa kati wa Newcastle Muingereza Sean Longstaff, mwenye umri wa miaka 23. (Independent)

ERLING HAALAND

REAL MADRID watakuwa na pesa za kumnunua mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Erling Haaland, mwenhye umri wa maika 21, msimu ujao, huku wakiendelea kuwa na nia ya kumnunu nyota wa Paris St-Germain na Ufaransa France star Kylian Mbappe, mwenye umri wa miaka 22. (AS – in Spanish)

AXEL TUANZEBE

MLINZI wa Uingereza Axel Tuanzebe, mwenye umri wa miaka 23, yuko tayari kujiunga kwa  mkataba  wa mkopo katika Aston Villa kutoka Manchester United kuwa wa kudumu. (Birmingham Mail)