Na Saida Issa,Dodoma
SERIKALI kupitia Bodi ya Maji ya Bonde la Wami Ruvu imesema kuwa imejipanga kuhakikisha inamaliza changamoto ya tatizo la maji katika mikoa...
By Mohamed Hakim
THE introduction of the Zanzibar Woman of the Year Award expresses how Non- Governmental Organizations (NGOs) support the government’s agenda of women...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano
KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja na inatukataza tusifarikiane, kama ilivyoeleza, "Na kwa yakini huu umma wenu ni umma mmoja na...
NA ASIA MWALIM
LICHA ya Serikali kuanzisha mradi wa kurejesha madarasani watoto walioacha skuli, bado kundi kubwa la watoto wapo mitaani wakizurura ovyo na wengine...
DUBAI, UAE
DANUBE Hospitality, the one-stop, end-to-end solution provider for hospitality businesses for the Middle East is paving the way towards sustainability with its multi...
NA ASIA MWALIM
KWA miaka ya hivi karibuni kesi za ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto zimeongezeka ikilinganishwa na kipindi kilichopita.
Matukio ya...
UVUMBUZI ni jambo jema, lakini sio kila mtu anaweza kuwa na kipaji cha kuwa mvumbuzi, panapofanyika jitihada ya kuwaza na kutafakari hili linawezekana.
Tokea Dahari...
PARIS, Ufaransa
MSHAMBULIAJI wa Paris St-Germain na Argentina, Lionel Messi ameibuka mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or, anayokabidhiwa mchezaji bora wa soka wa mwaka kwa...
Malang Sarr
BEKI wa Chelsea, Malang Sarr (22), analengwa na Inter Milan. Beki huyo wa Ufaransa amecheza mechi tatu pekee tangu ajiunge nayo mwaka 2020.(Sport...
NA HUSNA MOHAMMED
ZANZIBAR leo inaungana na nchi nyengine duniani kuadhimisha siku ya ukimwi ambayo huadhimishwa kila ifikapo Disemba 1 ya kila mwaka.
Wakati siku hii...
Mapambano dhidi ya ukimwi inamuwajibikia kila mtu
Mikakati zaidi inahitajika kupunguza maambukizi mapya
Na Mohammed Sharksy (suza)
KILA ifikapo tarehe 1 Disemba ya kila mwaka, Dunia huadhimisha...
VIENNA, AUSTRIA
Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya, Iran na Urusi wameelezea matumaini yao wakati Iran na madola yenye nguvu wakifanya mazungumzo yao ya kwanza katika...
BEIJING, CHINA
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutuma dozi bilioni moja barani Afrika za chanjo ya Covid ili kusaidia kuziba pengo la upatikanaji wa...
WASHINGTON, MAREKANI
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema, dunia inabidi iwashukuru wanasayansi wa Afrika Kusini na Botswana kwa kugundua kirusi kipya cha corona aina ya...
Uislamu unasisitiza umoja, mshikamano
KUR'AN tukufu inatutaka waislamu tuwe wamoja na inatukataza tusifarikiane, kama ilivyoeleza, "Na kwa yakini huu umma...