Monthly Archives: January, 2022

Tunakupongeza Dk.Mwinyi kwa uamuzi wa kuzungumza na wanahabari kila mwezi

TUNAKUMBUKA mnamo Novemba 2 mwaka 2020, ilikuwa siku ambayo umma wa wazanzibari macho na masikio yao yalielekezwa ikulu kwenye hafla ya kuapishwa baraza la...

WEMA mabingwa Mapinduzi Cup

NA ZAINAB ATUPAE TIMU ya soka ya Wizara ya Elimu na  Mafunzo ya Amali  (WEMA) imetetea ubingwa wake baada ya ushindi wa bao 1-0, dhidi...

Ujamaa yaonja kichapo

NA MWAJUMA JUMA KLABU ya Soka ya Ujamaa imeonja machungu baada ya juzi kufungwa bao 1-0 na Nyerere Boys, katika mchezo wake wa ligi daraja...

Aubameyang akaribia kutua Barcelona

LONDON, Engalnd ARSENAL wanakaribia kufikia makubaliano na Barcelona kumchukua Pierre-Emerick Aubameyang kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu. Mshahara wa Aubameyang ndio suala kuu la kusuluhishwa...

Greenwood akamatwa na polisi kwa ubakaji

LONDON, England MCHEZAJI wa Manchester United Mason Greenwood amekamatwa kwa tuhuma za ubakaji na shambulio kufuatia madai kwenye mitandao ya kijamii. Polisi wa Greater Manchester walisema...

Nusu fainali AFCON kuanza kesho

YAOUNDÉ, Cameroon TIMU ya taifa ya Senegal imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Equatorial...

Newcastle yamsajili Dan Burn

LONDON, England BRIGHTON wamekubali mkataba wa pauni milioni 13 na Newcastle kwa ajili ya beki wa kati Dan Burn kurejea kwao Kaskazini Mashariki. Newcastle walikuwa wamemlenga...

Kiunjuri akataa kufanya kazi na Raila

NAIROBI, KENYA KIONGOZI wa Chama cha Huduma Mwangi Kiunjuri amekataa kujiunga na vuguvugu la azimio la Umoja la Raila Odinga, hata kama alishikilia kuwa yuko...

Latest news

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...
- Advertisement -

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

ELIMU INAHITAJIKA MAPAMBANO AJIRA ZA WATOTO

WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa...

Must read

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji...