Monthly Archives: February, 2022

Aliyeegesha gari kona ya barabara alipishwa faini

NA KHAMISUU ABDALLAH IBRAHIM Abdalla (40) mkaazi wa Kiembesamaki aliyedaiwa kusimamisha gari yake kwenye mpido wa barabara amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo. Mshitakiwa huyo alifikishwa katika...

Jeshi la Polisi, Waandishi wajalidi uhusiano

NA MWANDISHI WETU MKUU wa Mkoa Mjini Mgharibi Idirisa Kitwana Mustafa amewataka waandishi wa habari nchini kushirikiana na jeshi la polisi katika utekelezaji wa majukumu...

SUZA, REMAX wasaidieni madalali wafuate mfumo rasmi

NA LAYLAT KHALFAN WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Simai Mohamed Said, amekitaka Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) na kampuni ya REMAX,...

Vijana washauriwa kuchangamkia fursa za uchumi wa buluu

NA ASIA MWALIM VIJANA nchini wameshauriwa  kuchangamkia fursa zinazopatikana kupitia  uchumi wa Buluu, ili kufaidika zaidi kuliko makundi mengine. Ushauri huo umetolewa na Katibu Msaidizi Idara...

Kamati BLW yaitupia shutuma ZAECA

NA MWAJUMA JUMA, ASYA HASSAN KAMATI ya kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali za Mitaa na Mashirika ya Umma (LAAC), imeishangaa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa...

11 wafariki katika mgodi wa makaa, Colombia

BOGOTÁ, COLOMBIA WATU 11 wamefariki baada ya gesi aina ya methani kulipuka katika mgodi wa makaa ya mawe uliopo katikati ya Colombia. Kulingana na taarifa ya...

Wapinzani wa Ufaransa na utawala wa kijeshi waandamana CHAD

N'DJAMENA, CHAD WAANDAMANAJI wapatano 500 wameitikia wito wa vyama vya upinzani wa kufanya maandamano dhidi ya wanajeshi wa Ufaransa pamoja na utawala wa kijeshi nchini...

Nigeria yadai wanafunzi walinyanyaswa mpakani Ukraine

ABUJA, NIGERIA Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameeleza kutofurahishwa na visa vinavyoripotiwa vya unyanyasaji wa baadhi ya raia wa Nigeria wanaojaribu kuikimbia Ukraine. Jumla ya raia...

Latest news

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiwezesha bodi ya nafaka na mazao...
- Advertisement -

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na...

Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada rais Xi Jinping ya kuchaguliwa

CHINA na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti...

Must read

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa...

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake...