Monthly Archives: March, 2022

Waumini wa kiislamu tuupokee mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mambo mema

NA HAFSA GOLO LEO au kesho waumini wa dini ya kiislamu Ulimwenguni wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambao wamefaradhishiwa kufunga kwa kila...

Jamii yatakiwa kuhifadhi mazingira ya visiwa

NA ARAFA MOHAMMED JAMII nchini imeshauriwa kujifunza namna ya utunzaji wa rasilimali za nchi ikiwemo bahari, ili ziweze kudumu kwa muda mrefu. Hayo yameelezwa kwenye Kongamano...

SMZ yawatengea 36.5M/- wajasiriamali uchumi wa buluu

NA ASIA MWALIM WIZARA ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, imesema Serikali kupitia mkopo wa Benki ya dunia wa IMF, imetenga kiasi cha...

Tumieni viongozi wa kijamii, serikali kudhibiti migogoro – DC Kunambi

NA ASYA HASSAN JAMII imetakiwa kutumia viongozi wa serikali na kijamii waliopo katika maeneo yao kudhibiti na kuipatia ufumbuzi migogoro inayojitokeza ili kuimarisha amani na...

Kuimarika mtandao wa ‘internet’ utavutia uwekezaji – Soraga

NA KHAMISUU ABDALLAH WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji, Mudrik Ramadhan Soraga, amesema kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua za kuimarisha mazingira ya...

Adidas yatambulisha mpira utakaotumika Kombe la Dunia 2022

PARIS, Uswisi SHIRIKISHO la Soka Duniani na Kampuni ya Adidas, wametambulisha mpira mpya utakaotumika kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar 2022 na kupewa...

Dirk Kuyt: Ten Hag kocha sahihi Man.U

LONDON, England KIUNGO wa zamani wa Liverpool, Dirk Kuyt, anaamini, Manchester United itakuwa imeokota 'imeukata' ikiwa watampa kibarua, Erik Ten Hag, kama kocha atakayerithi mikoba...

Chelsea kuendelea kuvaa nembo ya ‘3’

LONDON, England KLABU ya Chelsea itaendelea kuvaa nembo ya '3' kwenye jezi zao, licha ya kampuni hiyo kusitisha udhamini wa pauni milioni 40 kwa mwaka...

Latest news

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...
- Advertisement -

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

ELIMU INAHITAJIKA MAPAMBANO AJIRA ZA WATOTO

WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa...

Must read

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji...