CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo 2025 iwe imetekelezwa kwa vitendo...
HOSPITALI Kuu ya Mnazimmoja imenunua vitanda maalum 50 kwa ajili ya wagonjwa wanaokatika mifupa kutokana na ajali vyenye thamani ya shilingi milioni 160.
Akizungumza na...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
MAENDELEO ya teknolojia katika mawasiliano yamefikia hatua kubwa na yamekuwa na faida sana, ambapo kuna tofauti kubwa miaka 30 iliyopita na hali ilivyo katika...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
‘’KIPINDI cha mvua wanafunzi hulazimika niwafungie wasije madrasani mpaka zitakapo malizika,’’ hayo ni maneno ya Sada Khamis Hamad mwenye ulemavu wa viungo ambae ni...
MELFU ya watu wamelazimika kuikimbia moto katika nchi mbali mbali ikiwemo Ufaransa,Ureno, na Uhispania pia hali hiyo imeibuka katika eneo la Alaska, kaskazini mwa...
PAMOJA na jitihada kubwa zinzochukuliwa na serikali na wadau katika kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji na ukatili wa watoto, bado wapo watu katika jamii...
NA MWANDISHI WETU, OMKR
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameushauri uongozi wa Baraza la Mji wa Chake Chake kuimarisha mazingira...
Balozi aahidi ushirikiano, misaada zaidi
NA MWANDISHI WETU, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza juhudi zinazochukuliwa na...
Afurahishwa na ubora wa filamu
NA MWANADISHI WETU
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hakutegemea kama filamu ya ‘The Royal Tour’,...
NA MWANDISHI WETU,Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ataendeleza utamaduni wa kuwafutarisha wananchi katika mikoa...
NA ASIA MWALIM
JESHI la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa sita wanaojihusisha na vitendo vya kitapeli katika maeneo mbali mbali ya Zanzibar...
NA ASYA HASSAN
MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Maendeleo ya Viwanda, Vidogo na vya Kati (SMIDA), Soud Said Ali amewataka wajasiriamali kuchangamkia fursa zitakazotolewa na...
NA ASIA MWALIM
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema imeridhishwa na kasi ya utengenezaji wa boti za uvuvi inayofanywa na kampuni zilizopewa zabuni za utengenezaji...