Monthly Archives: May, 2022

Fursa kuimarisha kilimo zitumiwe vyema – SHIWAKUTA

SHIRIKISHO la Vyama vya Wakulima Wadogo Tanzania (SHIWAKUTA) limewahimiza wakulima nchini, kutumia kikamilifu fursa zinazopatikana kwenye maeneo yao na kushirikiana vyema na wataalamu, kufanikisha kazi wanazozifanya.  Wito...

Membe apeleka neema, ataja kilichomuondoa CCM

MWANASIASA mkongwe aliyepata kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Benard Membe, juzi alikabidhiwa rasmi kadi mpya ya Chama...

TLS itaendeshwa kwa uwazi – Dk. Hosea

RAIS wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hoseah, amesema chama hicho kitaendeshwa kwa uwazi na uwajibikaji sanjari na kutoa taarifa kwa...

Mvua yasababisha vifo vya watu nchini Brazil

WATU wasiopungua 44 wamekufa na makumi wengine hawajulikani waliko baada ya mvua za masika zinazoendelea kunyesha kusababisha maafa kaskazini mashariki mwa Brazil. Waziri wa...

Wagonjwa wa Monkeypoxy waengezeka Nigeria

NIGERIA imetangaza uwepo wa visa vipya 6 vya ugonjwa wa Monkeypox mwezi Mei vilivyothibitishwa katika majimbo manne ya nchi hiyo, mamlaka ya udhibiti wa...

Watu 37 wauawa Congo baada ya shambulizi la waasi

TAKRIBANI raia 37 wameuwawa na wengine kadhaa wametekwa nyara wakati wa shambulizi la wapiganaji waasi kwenye mji wa Beni ulio mashariki mwa Jamhuri ya...

Mkuu Baraza la Mpito Sudan atangaza kuondoa hali ya hatari

MKUU wa Baraza la Utawala la Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan ametangaza kuondoa hali ya hatarii iliyowekwa tangu mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2021. Taarifa...

Rwanda yawataka waasi kuwachia huru wanajeshi wake

JESHI la Ulinzi la Rwanda (RDF) limewataka waasi walioko ndani ya ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wawaachilie huru wanajeshi wake wawili wanaowashikilia. Jeshi...

Latest news

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiwezesha bodi ya nafaka na mazao...
- Advertisement -

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na...

Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada rais Xi Jinping ya kuchaguliwa

CHINA na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti...

Must read

Samia aipatia bodi mazao mchanganyiko 150bn/-

NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa...

China, Tanzania zatanga fursa zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake...