CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo 2025 iwe imetekelezwa kwa vitendo kwa asilimia mia moja.

Utekelezaji huo unakitaka CCM uwe wenye mafanikio na ubora kwa kuifanikisha miradi ya maendeleo iliyomo ndani ya ilani ya uchaguzi.