DUBAI, UAE
DANUBE Hospitality, the one-stop, end-to-end solution provider for hospitality businesses for the Middle East is paving the way towards sustainability with its multi...
NA ASIA MWALIM
KWA miaka ya hivi karibuni kesi za ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto zimeongezeka ikilinganishwa na kipindi kilichopita.
Matukio ya...
NA SAIDA ISSA, DODOMA
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameiwezesha bodi ya nafaka na mazao mchanganyiko kupata mkopo wa shilingi...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
MAENDELEO ya teknolojia katika mawasiliano yamefikia hatua kubwa na yamekuwa na faida sana, ambapo kuna tofauti kubwa miaka 30 iliyopita na hali ilivyo katika...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
DUBAI, UAE
DANUBE Hospitality, the one-stop, end-to-end solution provider for hospitality businesses for the Middle East is paving the way towards sustainability with its multi...
NA ASIA MWALIM
KWA miaka ya hivi karibuni kesi za ukatili na udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto zimeongezeka ikilinganishwa na kipindi kilichopita.
Matukio ya...
NAIROBI, KENYA
MAJI katika Ziwa Naivasha yanapungua kwa 0.5m kila wiki kutokana na ukame ambao umeathiri kaunti 23.
Hali imekuwa mbaya zaidi kutokana na utoroshwaji mkubwa...