Most recent articles by:

Zanzibar leo

- Advertisement -

Ujenzi kiwanda cha kusarifu mwani kuongeza ajira

NA MARYAM SALUM UJENZI wa kiwanda cha kusindika mwani Chamanangwe Wilaya ya Wete, utasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa wanawake na wavijana nchini.

Mafisadi wanufaika na corona Afrika Kusini

UGONJWA wa corona ambao hadi hivi sasa unaendelea kuyasumbua mataifa mbalimbali ulimwenguni, uliingia barani Afrika mnamo mwezi Machi mwaka 2020.

Sekta binafsi ijitokeze kuwekeza kwenye kilimo

BADO tunaamini kilimo katika visiwa vya Zanzibar ndio uti wa mgongo wa uchumi wa nchi yetu hasa ikizingatiwa kuwa bidhaa zinazouzwa nje...

Wakulima washauriwa kuendeleza kilimo asili

NA MADINA ISSA WAKULIMA nchini wameshauriwa kuendelea kulima kilimo kilichokuwa hai kutunza udongo, ili kuweza kuendeleza maendeleo ya afya na kizazi...

ZAWA yajipanga kutoa huduma bora

NA LAYLAT KHALFAN MKURUGENZI Mkuu Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), Mussa Ramadhan Haji, amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ina azma ya...

Sri Lanka wapiga kura ya ubunge

 COLOMBO,SRI LANKA RAIA  nchini Sri Lanka wamemiminika vituoni jana kwa ajili ya uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kuimarisha nguvu za...

Polisi wa Malaysia wavamia ofisi za Al Jazeera

KUALA LUMPUR, MALAYSIA POLISI  nchini Malaysia wameivamia ofisi ya kituo cha televisheni cha Al Jazeera na vituo vyengine viwili nchini...

Erdogan atakiwa kushughulikia haki za mahabusu

ANKARA,UTURUKI BARAZA la Wataalamu barani Ulaya limemtaka Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki kuchukuwa hatua dhidi ya mateso ya washukiwa mikononi...

Must read

- Advertisement -