Most recent articles by:

Zanzibar leo

- Advertisement -

ZAECA kuendelea kutoa elimu ya rushwa

NA ASIA MWALIM MAMLAKA ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA), imesema itaendelea kutoa elimu kwa jamii ili kuhakikisha matukio...

Aliyefanya biashara ya kuuza CD bila kibali asimamishwa

NA ZAINAB ATUPAE OFISI ya  Baraza la Sanaa,Sensa, Filamu na Utamaduni kwa kushirikiana na ofisi ya Hatimiliki Zanzibar (COSOZA), wamemsimamisha kwa muda...

Yanga, Simba zamuwania ‘Sure Boy’

NA TIMA SALEHE, DAR ES SALAAM KLABU za Simba na Yanga zinawania saini ya kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar...

Morrison: Mashabiki msinichukie kusajili Simba

NA TIMA SALEHE, DAR ES SALAAM KIUNGO mpya wa klabu ya Simba Bernard  Morrison ambaye alisajiliwa akitokea Yanga, ameomba mashabiki wasimchukia...

Wachezaji Atletico Madrid wakutwa na corona

MADRID, Hispania KLABU ya Atletico Madrid, imethibitisha kwamba, wachezaji wake wawili wa kikosi cha kwanza wana corona.

Zaha apuuza taarifa kusajiliwa Arsenal

LONDON, England MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace WIlfried Zaha ameipuuza video inayosambaa katika mitandao,ambayo inaonyesha winga huyo akisaini Arsenal.

Solskjaer asifu kiwango cha Martial

LONDON, England BOSI wa Manchester United  Ole Gunnar Solskjaer amesema  mshambuliaji Anthony Martial hivi sasa yupo katika kiwango bora.

Mchezaji Raga Kenya afariki dunia

NAIROBI, Kenya NYANJA ya Raga ya Kenya inaomboleza kifo cha mchezaji Ian Waraba ambaye aliaga dunia siku ya Jumamosi, baada...

Must read

Warundi watatu wafungwa jela kwa kumshambulia Rais

GITEGA,BURUNDI MAHAKAMA ya Burundi imewafunga...

Spika wa Bunge la Nairobi ajiuzulu

NAIROBI,KENYA SPIKA  wa Bunge...
- Advertisement -