Most recent articles by:

ZANZIBAR LEO

- Advertisement -

Ofisi ya Ustawi yatafuta walezi

NA ASIA MWALIM JAMII imeshauriwa kujitokeza kuomba nafasi za kulea watoto wenye mahitaji maalumu ikwemo waliotelekezwa na familia zao ili kuboresha...

Mjawiri awataka wakulima wa asali kuongeza ujuzi

NA TATU MAKAME Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifungo na Uvuvi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri  amesema ipo haja ya kuongeza bidii katika ufugaji...

Vyama fuateni muongozo wa ZEC uchaguzi ufanyike kwa amani

NA ZAINAB ATUPAE VYAMA vya siasa nchini vimeshauriwa kufuata muongozo na taratibu zote zinazotolewa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar...

Miaka mitano jela au faini ya Sh10m kwa watakaosababisha machafuko katika mchujo wa chama

NAIROBI,KENYA WATAKAOSABABISHA  machafuko wakati wa mchujo wa vyama vya siasa watawekwa gerezani kwa miaka mitano au kulipa faini ya Shilingi...

Mimba 4,300 za umri mdogo zaripotiwa katika miezi minne

KAMPALA,UGANDA MIMBA zisizopungua 4,300 za utotoni zilisajiliwa katika miezi minne ya kwanza ya kufungiwa skuli kutokana na Covid-19 na Wizara ya...

AFP yaahidi kuwapatia wananchi maji safi

NA ABOUD MAHMOUD WANANCHI wa Jimbo la Malindi wametakiwa kumchagua mgombea Uwakilishi wa Chama cha Wakulima AFP, ili awaondoshee changamoto...

MGOMBEA URAIS ADA TADEA

Niko tayari kupokea matokeo yoyote NA MWANTANGA AME MGOMBEA wa Urais wa Chama cha ADA...

Kikwete: Acheni viongozi wanaojadili ukabila

NA MADINA ISSA MAKAMO Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ambae pia ni Rais mstaafu, Dk. Jakaya Mrisho...

Must read

- Advertisement -