Tanzania, WHO wamlilia Dk. Ndugulile
NA FATMA KITIMA, DAR ES SALAAM MKURUGENZI mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, Dk. Faustine Ndugulile (55), amefariki dunia, miezi kadhaa… Read More »Tanzania, WHO wamlilia Dk. Ndugulile
NA FATMA KITIMA, DAR ES SALAAM MKURUGENZI mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika, Dk. Faustine Ndugulile (55), amefariki dunia, miezi kadhaa… Read More »Tanzania, WHO wamlilia Dk. Ndugulile
NA SAIDA ISSA, DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, jana alipiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa huku… Read More »Dk. Samia ashiriki uchaguzi serikali za mitaa
NA MWANDISHI WETU, OMPR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kuchukua hatua mbali mbali pamoja na kutekeleza mkakati wa usalama barabarani mwaka 2020 – 2030… Read More »Tutachukua hatua kutekeleza mkakati usalama barabarani – Hemed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuanzia sasa serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha… Read More »Dk. Mwinyi : serikali kuwafidia nyumba wanaopisha miradi ya maendeleo
BERLIN, Ujerumani KWA mujibu wa ripoti katika vyombo vya habari vya soka nchini Ujerumani, Liverpool wamemtaja nyota wa Misri, Omar Marmoush kuwa mchezaji atakayechukua nafasi… Read More »Marmoush kumrithi Salah Anfield
LONDON, England LIVERPOOL na Newcastle wapo mbioni kumenyana katika kinyang’anyiro cha kuwania moja ya mali moto zaidi kwenye Ligi Kuu ya England, Bryan Mbeumo. Vinara… Read More »Liverpool, Newcastle Zamfukuzia Mbuemo
ROME, Italia GWIJI wa Arsenal, Patrick Vieira, ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya ‘Serie A’ ya Genoa. Kocha huyo mwenye umri wa miaka… Read More »Vieira bosi mpya Genoa
BAGHDAD, IRAQ IRAQ imezindua sensa ya watu na makaazi nchini kote hapo jana kwa mara ya kwanza baada ya kusimama kwa miaka 27. Waziri wa… Read More »Sensa ya watu na makaazi yafanyika Iraq baada ya miaka 27
NEW YORK, UMOJA WA MATAIFA MAREKANI imepinga rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililotaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko… Read More »Marekani yapinga azimio la UN usitishaji vita Gaza
MOGADISHU, SOMALIA Utawala Israel unataka kuwa na kituo cha kijeshi kaskazini mwa Somalia, kupitia eneo lililojitangazia uhuru wake la Somaliland. Endapo Somaliland ambayo imetangaza kujiondoa… Read More »Israel yataka kuweka kituo cha kijeshi Somalia
NAIROBI, KENYA MVUTANO baina ya makanisa na serikali umeendelea kutokota nchini Kenya, ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini humo kanisa katoliki limekataa mchango wa… Read More »Kanisa larejesha mchango wa fedha za Ruto
NA ZAINAB ATUPAE MWENYEKITI wa timu ya Real Kids Nassor Abdalla Zungu,amesema wamejipanga kuchukua ubingwa msimu huu na kuipandisha timu daraja. Real Kids inayoshiriki ligi… Read More »Real Kids yajipanga kuchukua ubingwa