Kimataifa

Sri Lanka wapiga kura ya ubunge

 COLOMBO,SRI LANKA RAIA  nchini Sri Lanka wamemiminika vituoni jana kwa ajili ya uchaguzi wa bunge unaotarajiwa kuimarisha nguvu za...

Polisi wa Malaysia wavamia ofisi za Al Jazeera

KUALA LUMPUR, MALAYSIA POLISI  nchini Malaysia wameivamia ofisi ya kituo cha televisheni cha Al Jazeera na vituo vyengine viwili nchini...

Erdogan atakiwa kushughulikia haki za mahabusu

ANKARA,UTURUKI BARAZA la Wataalamu barani Ulaya limemtaka Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki kuchukuwa hatua dhidi ya mateso ya washukiwa mikononi...

UN:Korea Kaskazini inadharau vikwazo

PYONGYANG,KOREA KASKAZINI JOPO  la wataalamu wa Umoja wa Mataifa linasema kuwa Korea Kaskazini inavipuuza vikwazo cha Umoja huo kwa kutanuwa programu...

Lebanon yaomboleza vifo vya watu 100 baada ya mripuko wa Beirut

BEIRUT,LEBANON TAIFA  la Lebanon linaomboleza baada ya mripuko mkubwa katika mji mkuu wa Beirut uliopelekea zaidi ya watu 100 kuuawa na...

Russia yajibu vitisho vya makombora vya Marekani

MOSCOW,RUSSIA WIZARA  ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia imetangaza kuwa, nchi hiyo haitofumbia jicho vitisho vya makombora ya Marekani.

Mfalme wa zamani wa Uhispania ahama nchi kwa shutuma za ufisadi

MADRID,UHISPANI MFALME wa zamani wa Uhispania Juan Carlos, ameamua kuihama nchi hiyo,kwa lengo la kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma...

WHO yakamilisha uchunguzi wake China kuhusu chanzo cha corona

BEIJING,CHINA SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limetangaza kuwa limekamilisha uchunguzi wake nchini China kuhusu chanzo cha virusi vya corona.

Latest news

Polisi ‘feki’ watiwa mbaroni kwa kutapeli

NA ASIA MWALIM JESHI la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia...
- Advertisement -

Chuoni yajitoa kombe la FA

NA ABOUD MAHMOUD TIMU ya soka ya Chuoni FC inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar imetangaza kujitoa...

Serikali yawatembelea wasanii wakongwe,wagonjwa

NA ZAINAB ATUPAE NAIBU Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Zanzibar Lulu Msham Abdalla,amesema wataendelea kutekeleza agizo...

Must read

- Advertisement -

You might also likeRELATED
Recommended to you