Kitaifa

39 kuwania Uwakilishi, Udiwani Kaskazini ‘B’

NA HUSNA SHEHA WANACHAMA 39 kati ya 41 wa vyamba mbali mbali vya siasa waliochukua fomu kuwania nafasi ya Uwakilishi...

Apandishwa Mahakamani kwa ‘utapeli’ baada ya kuaminiwa

NA KHAMISUU ABDALLAH ALIYEDAIWA kutapeli mamilioni ya pesa Mshitakiwa Khamis Shkeli Masoud (50) mkaazi wa Chuini wilaya ya Magharibi ‘A’...

Mwanamke aonja rumande baada kudaiwa kukutwa na dawa za kulevya

NA TATU MAKAME HAMIDA Ramadhani Juma (29) mkaazi wa Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja, amepandishwa katika Kizimba cha Mahakama ya...

Aliedaiwa kumuingilia mlemavu wa akili aachiwa huru

NA HAJI NASSOR, PEMBA MAHAKAMA ya Mkoa Chake Chake, imemuachia huru, kijana Abdalla Khatib Abdalla, miaka 25 wa Pujini, aliyekuwa...

Apandishwa Mahakamani baada kupuuza amri ya Polisi

NA LAILA KEIS MSHITAKIWA Ablillah Haji Juma (35), mkaazi wa Mwera Unguja, amefikishwa Mahakama ya mwanzo Mwanakwerekwe kwa makosa mawili...

Mahakama yasogeza mbele kesi aliyeharibu vyarahani

NA KHAMISUU ABDALLAH MAHAKAMA ya mwanzo Mwanakwerekwe imeiahirisha kesi inayomkabili mshitakiwa Sadam Hussein Tajo (20) mkaazi wa Darajabovu wilaya ya Magharibi...

Vijana wa CCM msiwaunge mkono wabaguzi – RC Kusini

NA ASYA HASSAN MKUU wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud amewataka Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani humo...

Wafugaji waaswa kutovuruga mashamba ya wakulima

NA HAFSA GOLO HALMASHAURI ya Kaskazini “A” Unguja imewataka wafugaji kuondokana na utamaduni wa kuwachia mifugo yao ama kuyafunga katika mashamba...

Latest news

Anaedaiwa kumuuwa askari wa KVZ apandishwa Mahakamani

NA MARYAM SALUM, PEMBA MTUHUMIWA  Ussi Fumu Machaano mwenye miaka 55 mkaazi wa Ngwachani...
- Advertisement -

Serikali yasambaza miche ya minazi kwa wananchi

NA SALIM TALIB, PEMBA JUMLA ya miche ya minazi 2,383 imekabidhiwa kwa masheha wa...

ZRB yawahimiza wafanyabiashara kulipa kodi

NA MWANDISHI WETU BODI ya Mapato Zanzibar (ZRB) imewataka wafanyabiashara kufanya biashara zao kwa...

Must read

- Advertisement -

You might also likeRELATED
Recommended to you

Maonesho nane nane yawavutia Wananchi

NA MASANJA MABULA, PEMBA

DK.shein akutana na Uongozi vijana

Aagiza kasi utekelezaji majukumu