Serikali ya Ufaransa yaporomoka
PARIS, UFARANSA SERIKALI ya Ufaransa imeporomoka baada ya Waziri Mkuu Michel Barnier kuenguliwa katika kura ya kutokuwa na imani naye. Wabunge walipiga kura kwa wingi… Read More »Serikali ya Ufaransa yaporomoka
PARIS, UFARANSA SERIKALI ya Ufaransa imeporomoka baada ya Waziri Mkuu Michel Barnier kuenguliwa katika kura ya kutokuwa na imani naye. Wabunge walipiga kura kwa wingi… Read More »Serikali ya Ufaransa yaporomoka
BAGHDAD, IRAQ IRAQ imezindua sensa ya watu na makaazi nchini kote hapo jana kwa mara ya kwanza baada ya kusimama kwa miaka 27. Waziri wa… Read More »Sensa ya watu na makaazi yafanyika Iraq baada ya miaka 27
NEW YORK, UMOJA WA MATAIFA MAREKANI imepinga rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililotaka kusitishwa mara moja kwa mapigano huko… Read More »Marekani yapinga azimio la UN usitishaji vita Gaza
TEHRAN, IRAN RAIS wa Iran, Ebrahim Raisi, ni miongoni mwa watu mashuhuri na wa muda mrefu anayeonekana kuwa mrithi wa Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei,… Read More »Viongozi wa dunia watuma salamu za rambirambi kifo cha Rais wa Iran
TURIN, ITALIA MAWAZIRI wa nishati kutoka nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda (G7), walimaliza makutano wao wa siku mbili, ambapo katika miongoni mwa mambo waliyoazimia ni… Read More »Marekani kuhamishia wanajeshi wake Chad
TURIN, ITALIA MAWAZIRI wa nishati kutoka nchi saba zilizostawi zaidi kiviwanda (G7), walimaliza makutano wao wa siku mbili, ambapo katika miongoni mwa mambo waliyoazimia ni… Read More »G7 yaeka kikomo matumizi ya makaa ya mawe
ANKARA, UTURUKI WAZIRI wa mambo ya nje wa Uturuki, Hakan Fidan amesema kuwa nchi itajiunga na Afrika Kusini katika kesi ya kuishitaki Israel kwenye mahakama… Read More »Uturuki kujiunga na Afrika Kusini dhidi ya Israel
GAZA, PALESTINA KUNDI la Hamas la Palestina limesema mazungumzo ya kusimamisha mapigano na Israel yatasitishwa iwapo Israel itaushambulia mji wa Rafah ulioko kusini mwa Ukanda… Read More »Hamas kusitisha mazungumzo iwapo Rafah itashambuliwa