Dk. Samia: Viwanda kuufungua uchumi wa nchi
DAR ES SALAAM, RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema sekta ya viwanda ni muhimu katika ukuaji wa uchumi jumuishi… Read More »Dk. Samia: Viwanda kuufungua uchumi wa nchi
DAR ES SALAAM, RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema sekta ya viwanda ni muhimu katika ukuaji wa uchumi jumuishi… Read More »Dk. Samia: Viwanda kuufungua uchumi wa nchi
JESHI la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za wizi wa pikipiki uliotokea kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu. Akizungumza na… Read More »Wanaotuhumiwa kujihusisha na wizi wa pikipiki mbaroni
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema umefika wakati kwa watanzania kutumia nishati safi ili kuiokoa nchini katika janga la… Read More »Dk. Samia azindua mkakati matumizi nishati safi
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), jana imezindua mradi wa matengenezo ya jengo la sinema… Read More »UNESCO kuifufua sinema ya ‘Majestic’
DODOMA SERIKALI inaendelea na taratibu za kumpata mwekezaji mwingine atakayekuwa na jukumu la kufanya shughuli za uendeshaji kuanzia Gati Namba 8 hadi 11 katika Bandari.… Read More »Serikali yasaka mwekezaji mwengine wa bandari
PEMBA NYUMBA ya ghorofa moja inayomilikiwa na Shirika la Nyumba kisiwani Pemba, imeteketea kwa moto majira ya saa 2:15 asubuhi katika mtaa wa Bomani shehia… Read More »Nyumba ya Shirika la Nyumba yaungua moto
NA SALAMA MOHAMED, WKUMM MKURUGENZI wa Idara ya Utafiti wa Kilimo, Salma Omar Mohamed amewashauri wakulima wa mazao ya muhogo watumie mbegu bora za muhogo… Read More »‘Tumieni mbegu bora kuongeza uzalishaji muhogo’
SONGWE BAADHI ya wananchi wa vitongoji vya kijiji cha Itumba kata ya Isongole wilayani Ileje mkoani Songwe. wamewalalamikia watendaji wa mamlaka ya maji na usafi… Read More »Wanakijiji zaidi 20,000 Ileje waja juu waichongea RUWASA
WABUNGE na viongozi mbalimbali wametembelea mabanda ya maonesho yaliyoandaliwa na wizara ya Kilimo yaliyopo katika viwanja vya bunge jijini Dodoma na kutoa maoni yao kuhusu… Read More »Wadau wapongeza ongezeko bajeti ya kilimo
ZAIDI ya shilingi bilioni 40.5 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa mradi wa uimarishaji wa maeneo ya mji wa Unguja. Katibu Mkuu wizara ya Nchi, Ofisi… Read More »Shilingi 40.5 bn/- kuimarisha maeneo ya miji
WAZIRI wa Afya, Nassor Ahmed Mazrui, amewataka wataalamu wanaohusika na vipimo vya DNA kuwa waadilifu na waaminifu wakati wanapofanya majukumu yao. Mazrui alisema hayo ukumbi… Read More »Wataalam vipimo zingatieni uadilifu – Mazrui
TIMU ya madaktari Bingwa kutoka mikoa ya Ruvuma, Songwe na Mbeya wameanza kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya maradhi mbali mbali kwa wananchi wa… Read More »Timu ya madaktari bingwa watua Ruvuma kutoa tiba