michezo kimataifa

Mashabiki Man. United wakutana na mtendaji mkuu

MTENDAJI mkuu wa Manchester United Richard Arnold alifanya mazungumzo nje ya nyumba yake ya Cheshire kwa kukutana na baadhi ya mashabiki katika baa yake...

Arsenal yamuongeza mkataba Nketiah

MSHAMBULIAJI wa Arsenal Eddie Nketiah amekubali kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na The Gunners. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ambaye mkataba wake...

Liverpool yamsajili Ramsay

LIVERPOOL wamekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Scotland Calvin Ramsay, 18, kutoka Aberdeen kwa mkataba wa miaka mitano kwa dau la awali la...

Bucks yavuliwa ubingwa NBA

MIAMI, Marekani KAMA ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu. Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu...

Peseiro akabidhiwa mikoba Nigeria

LAGOS, Nigeria SHIRIKISHO la Soka la Nigeria (NFF), limefikia makubaliano na kocha wa zamani wa Porto na Sporting Lisbon, Jose Peseiro, kuchukua majukumu ya timu...

Mayweather kupandishwa mahakamani

PARIS, Ufaransa MHAMASISHAJI wa mtandao wa 'YouTube', Logan Paul, amesema, anatarajia kumpeleka bondia, Floyd Mayweather, mahakamani kwa kushindwa kukamilisha malipo yake. Logan na Floyd Mayweather walikutana...

Newcastle yaibania Arsenal Mabingwa Ulaya

LONDON, England NEWCASTLE United imeibania Arsenal kwenye mbio za kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuitandika magoli 2-0 kwenye uwanja wa St.James Park. Kipigo hicho...

Upangaji matokeo wazigharimu Ashanti, Inter

ACCRA, Ghana KLABU za Ashanti Gold na Inter Allies zimeshushwa kutoka Ligi Kuu Ghana mpaka daraja la tatu pamoja kuadhibiwa wachezaji na maofisa wengine wa...

Latest news

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...
- Advertisement -

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

ELIMU INAHITAJIKA MAPAMBANO AJIRA ZA WATOTO

WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa...

Must read

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji...
- Advertisement -

You might also likeRELATED
Recommended to you

SMZ, Jumuiya kushirikiana kukuza uchumi

NA HANIFA SALIM, PEMBA WAZIRI wa Utalii na Mambo ya...

Mfumko wa bei za bidhaa Uganda waongezeka

KAMPALA, UGANDA ONGEZEKO la mara kwa mara la bei za...

Udaku katika soka

OUSMANE DEMBELE BARCELONA wako tayari...