michezo kitaifa

Elimu bila malipo mkoa mjini yashika kasi

MICHUANO ya soka ya elimu bila malipo katika Mkoa wa Mjini Unguja kundi ‘A’ yameanza rasmi ambapo  timu za skuli za sekondari Jang’ombe na...

Dula Boys yapanda ligi kuu

TIMU ya soka ya Dula Boys imeungana na Kundemba kucheza ligi kuu ya Zanzibar msimu ujao, baada ya juzi kushinda mchezo wake wa mwisho...

Mashabiki Simba wamuaga Bwalya

MASHABIKI wa Simba wamemuaga kiungo mshambuliaji Rally Bwalya na kumtunza pesa baada ya mechi dhidi ya KMC ambapo hiyo ilikuwa mechi yake mwisho akiwa na...

KMKM yakabidhiwa ‘mwari’ wao

LIGI kuu ya Zanzibar juzi ilifikia tamati kwa mchezo uliowakutanisha mabingwa wa ligi hiyo KMKM na Mlandege ambao ulimalizika kwa mabingwa hao kushinda bao...

Zingatieni sifa za kitaaluma ajira za mikataba – Dk. Mkuya

NA KHAMISUU ABDALLAH WAZIRI wa Nchi Ofisi, Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Saada Mkuya Salum, ameitaka Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) kuzingatia sifa za kitaaluma...

Nyota 7 wasimamishwa KVZ

NA ZAINAB ATUPAE KOCHA Msaidizi wa Kikosi cha KVZ, Hussein Ramadhan, amesema, wamewasimamisha wachezaji saba kutona na utovu wa nidhamu. KVZ inashika nafasi pili kwenye Ligi...

Muungano kikapu kuanza kesho

NA ZAINAB ATUPAE MICHUANO ya mpira wa wavu ya Ligi ya Muungano, inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mwaka huu ambapo timu 14 zitashiriki. Kwa mujibu...

KMKM yapinga kuuza mechi

NA ZAINAB ATUPAE KOCHA Mkuu wa KMKM, Ame Msim, amepinga taarifa zinazungumzwa kwamba walifanya mazungumzo ya kuwauzia mechi Uhamiaji juzi. KMKM ilipokea kichapo cha mabao 2-1...

Latest news

Wataamu wa China, Kenya wajadiliana nyanja ya kilimo 

MDAHALO kuhusu ushirikiano wa kilimo duniani: Mazao Kutoka Kenya na Soko la China, ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya...
- Advertisement -

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar. Sekta...

CCM yaridhishwa utekelezaji ilani Pemba

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo...

Must read

Wataamu wa China, Kenya wajadiliana nyanja ya kilimo 

MDAHALO kuhusu ushirikiano wa kilimo duniani: Mazao Kutoka Kenya...

‘Mabeach boy’ wasiosajiliwa wanaoharibu utalii wa Zanzibar wachukuliwe hatua

SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia...
- Advertisement -

You might also likeRELATED
Recommended to you

Je, kuwachiwa huru wafungwa wa kisiasa Ethiopia kuna maana gani?

BAADA ya miezi kadhaa ya mzozo, mivuatano na vita...

Ubelgiji yawakumbuka waathirika wa mafuriko

BRUSSEL, UBELGIJI   WANANCHI nchini Ubelgiji wamekaa kimya kwa dakika...