Uchambuzi

Wiki ya unyonyeshaji iwe motisha kwa wasiopenda kunyonyesha watoto

NA HUSNA MOHAMMED WAKATI ulimwengu ukiadhimisha wiki ya kimataifa ya unyonyeshaji watoto na kuelezea faida zake kwa wazazi na taifa,...

Jamii iendelee kuchukua tahadhari ya corona kuepuka maambukizi mapya

NA SIMAI HAJI, MCC JANA wazanzibari walikamilisha sherehe za Eid el Hajj ambapo serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeruhusu kufanyika sherehe...

Nenda kapumzike salama, watanzania wataendelea kukumbuka daima

NA MWANDISHI WETU IKIWA watanzania wako katika maombolezi ya Rais wao mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Willium Mkapa, watamkumbuka...

Sekta ya elimu isichafuliwe kwa watu wachache wenye tamaa ya fedha

NA HUSNA MOHAMMED LICHA ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuweka biashara huria, lakini baadhi ya watu wamekuwa wakitumia vibaya fursa...

Ukomavu wa kisiasa namna unavyoonekana katika hatua za awali kuelekea uchaguzi mkuu

NA HAFSA GOLO TANZANIA sasa imeonesha ukomavu wa kisiasa unaoendana na misingi ya sheria, demokrasia na utawala bora hasa katika...

Chagueni viongozi wanaojali maslahi ya umma

MWANDISHI WETU CHAMA cha siasa ni maungano ya watu wanaotafuta mamlaka katika dola na hasa serikali kwa kusudi la kutekeleza shabaha za kisiasa au za kifalsafa pamoja...

Viongozi wa klabu jitambueni kabla ya kuongoza

NA ABOUD MAHMOUD NYIMBO maarufu inayojulikana kwa jina la ‘dhamana’ iliyoghaniwa na mwanamuziki mkongwe mwenye asili ya Asia Chaganlal...

Bei mpya ya mwani ije kuwakomboa wakulima

NA MWANTANGA AME SERIKALI ya Zanzibar hivi karibuni imetangaza neema kwa wakulima wa zao la mwani kwani inakusudia kupandisha...

Latest news

Polisi ‘feki’ watiwa mbaroni kwa kutapeli

NA ASIA MWALIM JESHI la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linawashikilia...
- Advertisement -

Chuoni yajitoa kombe la FA

NA ABOUD MAHMOUD TIMU ya soka ya Chuoni FC inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar imetangaza kujitoa...

Serikali yawatembelea wasanii wakongwe,wagonjwa

NA ZAINAB ATUPAE NAIBU Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Zanzibar Lulu Msham Abdalla,amesema wataendelea kutekeleza agizo...

Must read

- Advertisement -

You might also likeRELATED
Recommended to you