CHAMA cha Mapinduzi (CCM) hivi sasa kimo katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, ilani ambayo inakitaka chama hicho ifikapo 2025 iwe imetekelezwa kwa vitendo...
HOSPITALI Kuu ya Mnazimmoja imenunua vitanda maalum 50 kwa ajili ya wagonjwa wanaokatika mifupa kutokana na ajali vyenye thamani ya shilingi milioni 160.
Akizungumza na...
Gianluca Scamacca
KLABU ya Paris Saint-Germain imekubaliana masharti na Skriniar pamoja na kiungo wa kati wa Lille na Ureno, Renato Sanchez (24) na mshambuliaji wa...
NA MWANDISHI WETU
MABADILIKO katika sehemu yoyote ile ni muhimu sana iwe kwa Serikali, taasisi ya umma ama ya binafsi au wakati mwengine hata nyumbani.
Kwa...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
ILI nchi yoyote duniani iweze kufikia malengo ya kimaendeleo, haina budi kuwa na mipango bora katika matumizi ya rasilimali zake, ili kuhakikisha zinakuwa endelevu...
BIASHARA huria ni suala lililotiliwa mkazo kwa kuwa kila mmoja aweze namna ya kujitafuta riziki ya halali.
Aidha serikali daima imekuwa ikisisitiza wafanyabiashara kulipa kodi...
MAENDELEO ya teknolojia katika mawasiliano yamefikia hatua kubwa na yamekuwa na faida sana, ambapo kuna tofauti kubwa miaka 30 iliyopita na hali ilivyo katika...
WATOTO ni hazina muhimu kwa maisha kila siku. Hazina hiyo kamwe haitoweza kuwa muhimu endapo haitoandaliwa vizuri sambamba, kulindwa na kupewa hifadhi dhidi pingamizi...
KWA miezi kadhaa sasa waumini wa dini ya kiislamu hapa Zanzibar wamo kwenye matayarisho ya kuelekea nchini Saudi Arabia katika miji mitukufu ya Makka...
MPIRA wa magongo ni miongoni mwa michezo mizuri ambayo miaka ya nyuma iliwahi kutamba na kuiletea sifa nzuri Zanzibar ndani na nje ya nchi.
Sambamba...
MICHUANO ya Soka ya Wanawake ya Chalenji Afrika Mashariki na Kati, tayari yameanza kutimua vumbi nchini Uganda, ikiyashirikisha mataifa manane ya ukanda huu.
Mataifa hayo...
‘’KIPINDI cha mvua wanafunzi hulazimika niwafungie wasije madrasani mpaka zitakapo malizika,’’ hayo ni maneno ya Sada Khamis Hamad mwenye ulemavu wa viungo ambae ni...
MELFU ya watu wamelazimika kuikimbia moto katika nchi mbali mbali ikiwemo Ufaransa,Ureno, na Uhispania pia hali hiyo imeibuka katika eneo la Alaska, kaskazini mwa...
PAMOJA na jitihada kubwa zinzochukuliwa na serikali na wadau katika kukabiliana na vitendo vya udhalilishaji na ukatili wa watoto, bado wapo watu katika jamii...
SEKTA ya utalii ni sekta muhimu sana ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa pato la taifa kwa uchumi wa Zanzibar.
Sekta hiyo ni miongoni mwa rasilimali...
"Hakuna hisabati wala fizikia ya kisasa ingekuwapo bila Aljebra. Hakungekuwa na kompyuta bila Algoriti, na hakuna kemia bila Alkali," alisema mwanafizikia wa nadharia Jim...
Kila mmoja wetu anaelewa kuwa ili nchi ikamilike iwe na vikosi vya kijeshi, vikosi ambavyo vinahitaji kuwa na vifaa vya kutosha, kutengewa bajeti kila...
MASHABIKI wa Simba wamemuaga kiungo mshambuliaji Rally Bwalya na kumtunza pesa baada ya mechi dhidi ya KMC
ambapo hiyo ilikuwa mechi yake mwisho akiwa na...
SERIKALI imesema kuna mabadiliko makubwa katika mahakama zilizopo Zanzibar, hali inayotokana na kutolewa kwa hukumu zinazoendana na sheria zilizopo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,...
HUKUMU ya kesi kijana aliyedaiwa kumlawiti mtoto wa kiume, Ali Shamhuna Juma (20) mkaazi wa Mahonda Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, imesogezwa mbele baada...
NA ABOUD MAHMOUD
HATIMAE kilio cha siku nyingi kwa wadau, mashabiki pamoja na timu za soka, ambazo zinashiriki ligi kuu visiwani sasa hivi kimemalizika.
Katika msimu...