Ruto aahidi kuongeza uwekezaji ili kuboresha usalama wa baharini
NAIROBI, KENYA Rais wa Kenya William Ruto amesema serikali yake itaongeza uwekezaji katika sekta ya mambo ya baharini kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na matishio ya mpakani. Rais Ruto alisema hayo katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Majini la Kenya yaliyofanyika mjini Mombasa, na kuongeza kuwa, serikali itaboresha uungaji mkono kwa jeshihilo ili kuboresha uwezo wake wa kulinda mipaka ya baharini ya nchi hiyo. Pia amesema, Kenya itaongeza uwekezaji katika… Read More »Ruto aahidi kuongeza uwekezaji ili kuboresha usalama wa baharini